DIDIER KARASIRA NA DADA ELINA WAIMBAJI TOKA RWANDA WAREKODI VIDEO YAO MPYA JIJINI DAR ES SALAAM
![]() | |
Waimbaji wa nyimbo za Injili toka Rwanda Elina na Didier Karasira wakirekodi video ya toleo lao la kwanza huko Ndege Beach, Bahari ya Hindi jijini Dar es salaam,Tanzania. Video hiyo imetayarishwa na Zaky Maduhu wa JCB Studioz na itakuwa na nyimbo saba |

Post a Comment