MTANGAZAJI

FREDY KILYA NA GIDEON KASOZI WALIPOKUTANA NA KATIKA STUDIO ZA JCB

Fredy Kilya (kushoto) na Gideon Kasozi(Kulia) ni miongoni mwa walimu na watayarishaji  wa nyimbo za injili katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato ambao wamesaidia sana maendeleo ya muziki huo nchini Tanzania hapa ni walipokutana hivi karibuni katika studio za JCB zilizopo jijini Dar es salaam.

1 comment

hamenya said...

Kwa kweli watu hawa (Fredy na Kasozi, pamoja na wengine hasa Thomas Mutesasila na Kawase wamenibariki na kujenga msingi wangu katika suala zima la muziki wa Kiadventista. Nimejifunza kwao kupiga kinanda, kufanya Harmonization katika nyimbo, kutengeneza Muziki(Track) na Kufanya Audio Recording hasa kwa kutumia Cool Edit na Adobe Audition studios. Waende mbali sana, nami naendelea kujifunza zaidi nikiamini siku moja nitakuwa kama wao na zaidi!

Mtazamo News . Powered by Blogger.