Kiongozi Mkuu wa Kanisa la
Waadventista Wa Sabato nchini Tanzania Mch Godwin Lekundayo akihutubia
kwenye ibada ya Sabato ya Julai 20,2013 katika Kanisa la Waadventista
Wa Sabato Magomeni
Mwembechai jijini Dar es salaam,kulia kwake ni Dr Mpoki Ulisubisya,
Mchungaji
Lekundayo yuko jijini Dar es Salaam kwa ajili ya tukio la mkutano wa
changizo
kwa Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni utakaofanyika Julai
21,2013
ambapo mgeni Rasmi ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato
Kanda ya
Afrika Mashariki na Kati Mch Blasious Ruguri,kanisa hilo linataraji
kutumia
shilingi bilioni 4 kwa ajili ya ujenzi
|
Post a Comment