DR BARAKA MUGANDA ATOA HUDUMA YA UWEKAJI MIKONO WAZEE WA KANISA
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Washington Marekani Dr Baraka Muganda akiomba wakati wa huduma ya uwekaji Mikono baadhi ya Wazee wa Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni ambapo Mwimbaji na Mwalimu wa Nyimbo za Injili Mgini Kweba aliwekewa mikono kuwa mzee wa kanisa kwa mwaka 2013 |
Post a Comment