MTANGAZAJI

WAZALENDO FOOTBALLERS OF THE YEAR AWARDS 2012

KAMPUNI ya Wazalendo Bright Media kwa kushirikiana na Kampuni ya
Vennedrick, pamoja na Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania
(Tafca) wameandaa tuzo kwa wachezaji wa Kitanzania (Wazalendo pekee)
ambao waliofanya vizuri kuanzia Januari 1 hadi Desemba 31 mwaka 2011.

Tuzo hizi zinatarajiwa kutolewa Juni 30 mwaka huu jijini Dar es

Salaam, ambapo washindi watapatikana kwa njia ya kura zitakazopigwa na
Makocha 12 na manahodha 12 wa timu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu
uliomalizika hivi karibuni. Mfumo unaotumiwa na Fifa kumchagua
wamasoka bora wa mwaka.

Sifa za jumla kwa wachezaji


1.      Ni lazima mchezaji awe mzawa wa Tanzania

2.      Awe anachezea timu ya taifa  ambazo ni Taifa Stars, U-17, U-20,
U-23 au Twiga Stars kwa Wanawake.
3.      Awe anacheza ligi ya Tanzania Bara.
4.      Nidhamu ndani na nje ya uwanja.
5.      Asiwe na kashfa yoyote ya utumiaji wa madawa yaliyopigwa marufuku
michezo.

Pia tuzo hizi zinatawagusa wadau mbalimbali waliochangia maendeleo ya

soka la Tanzania kwa namna moja ama nyinyine ambao ni lazima wawe
Watanzania.

Wadau hawa ni pamoja na wachezaji wa zamani, waanzilishi wa soka la

wanawake pamoja na maendeleo yake (itawahusu wanawake pakee) pamoja na
viongozi wa kiserikali ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa ni
chachu ya soka la Tanzania.

Dhumuni la kuanzishwa kwa tuzo za Wazalendo,  ni kuongeza ushindani

kwenye timu ya taifa, Ligi Kuu, pamoja na kukuza vipaji vya nyota
wanaochipukia.

Ziwadi zitakazotolewa siku hiyo ni pamoja na tuzo, fedha taslim, vyeti

na medani kwa washindi.

Tayari kamati imeshafanya mchujo wa kwanza ambapo majina 35

yamepitishwa ambapo kura za makocha na manahodha wa timu za ligi kuu
wataamua.

Pamoja na taarifa hii tumeambatanisha na majina yaliyopitishwa na

kamati ya maandalizi ambayo yatapigiwa kura. Tunataendelea kutoa
taarifa kadri siku zinavyokwenda.

Imetolewa na Ahadi Kakore


Mratibu  (0784 890 387)


WAZALENDO BEST FOOTBOLLERS OF THE YEAR 2011 AWARDS (NOMINEES)


GROUP A: BEST GOAKEPER OF THE YEAR


1. Mwandini Ally- Azam FC

2. Juma Kaseja- Simba
3. Shaaban Kado- Yanga

GROUP B: BEST DEFFENDER OF THE YEAR


1. Shadrack Nsajigwa- Yanga

2. Nadir Haroub ‘Cannavaro’- Yanga
3. Agrey Mouris- Azam FC
4. Juma Nyosso- Simba

GROUP C: BEST MIDDLEFIELD OF THEE YEAR.

1.Shaban Nditi -Mtibwa
2.Nardin Bakar- Yanga
3.Mwinyi Kazimoto-Simba

GROUP D: BEST STICKER OF THE YEAR.


1. John Bocco - Azam FC

2. Mrisho Ngassa - Azam FC
3. Hussein Javu - Mtibwa

GROUP E: UPCOMING OF THE YEAR.

1. Shomari Kapombe - Simba
2. Issa Rashid - Mtibwa
3. Frank Sekule – Simba
4. Saimon Happygold-Villa

GROUP F: BEST PLAYER OF THE YEAR 2011.


1. Nadir Haroub ‘Cannavaro’- Yanga

2. Juma Kaseja-Simba
3. Nurdin Bakar - Yanga
4. Mrisho Ngassa- Azam FC
5. Shaban Nditi-Mtibwa


Group G: Women Best Player of the Year 2011


Sophia Mwasikili

a.      Ester  Chabruma
b.      Asha Rashid
c.      Fatma Ally
d.      Mwapewa Mtumwa
e.      Mwanahamisi Omar

Group H: Honor awards


Women soccer Promotions

a.      Stephania Kabumba
b.      Fatma Mukanda
c.      Asha Tamba
d.      Dr. Magreth Mtaki

Group I: Honor awards


Ex-National Team Players


Majina yatatolewa siku zijazo.


Group J: Honor awards

     Benjamin William Mkapa

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.