UBINGWA WA CHELSEA
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akishangilia goli huku akiwa na Rais wa Marekani Barack Obama, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel,Rais wa Umoja wa Ulaya José Manuel Barroso na wajumbe wengine wa mkutano wa G8 uliofanyika Camp David,Marekani hapa ilikuwa ni May 19 mwaka huu walipokuwa wakiangalia penati zilizopigwa wakati wa mechi ya klabu bingwa ya Ulaya 2012 kati Chelsea (Uingereza) na Bayern Munich (Ujerumani) ambapo Chelsea waliibuka mabingwa.
(Picha na Mpiga Picha wa White House Pete Souza)
Post a Comment