MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM BANDARI YA SALAMA!!!!!2 comments

Unknown said...

ni hatari sana kwa nchi maskin kma hii ipoteze wakazi kwa uzembe bila hatua inayochukuliwa. mfano chukulia mafuliko ya dar. mwaka jana selikali nisijue imejipangaje kukabiliana na hali hii enadapao itajitokeza hat maeneo mengine.

Unknown said...

NAOMBA WATZ tujitahidi kusikiliza ushauri wa watahalam pale tunapotakiwa kuhama eneo kwa sababu ni hatari kwa maafa asilia mfano el-nino (nakmbka ya 1998, tsunami, hurricanes, mafuliko, dhuruba n.k. pia naonelea selikali iboreshe mfumo kma kukitokea ulazma wa watu kuhama makaz walipwe make ni janga la kitaifa huwez zuia. Asanteni

Mtazamo News . Powered by Blogger.