MTANGAZAJI

Mtangazaji wa Morning Star Radio na Mwalimu wa Acacia Singers Laven David Masika akiwa na mkewe Pendo Obeid baada ya kufunga ndoa  Obeid katika kanisa la waadventista Wasabato Mwenge jana jijini Dar es salaam

1 comment

Anonymous said...

maharusi mmependeza sana, sasa karibuni kwenye shule isiyokuwa na mwisho. ILA! MUNGU AWE WA KWANZA.

Mtazamo News . Powered by Blogger.