MTANGAZAJI

KIKAZI ZAIDI-KATIKA SEMINA YA KAYA NA FAMILIA CHUO KIKUU CHA MZUMBE -DAR ES SALAAM




Mtaalamu wa masuala ya ndoa Mch Wangai toka nchini Kenya akizungumza na mtangazaji baada ya semina ya kaya na familia iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Dar es salaam ambayo ilikuwa imeandaliwa na Road To Recovery Trust

Gidioni Mipawa toka IFM akizungumza na Mtangazaji

Loyce Ngaiwa toka IFM akiteta jambo kabla ya mahojiano na Mtangazaji

Mkurugenzi wa Road to Recovery Trust  Chris Buhatwa akizungumza na Mtangazaji

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.