MTANGAZAJI

MTANGAZAJI ALIPOKUTANA NA MTUNZI NA MTAALAMU WA NYIMBO ZA INJILI


Mtangazaji akizungumza na Mtunzi na Mtaalamu wa nyimbo za injili katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania Mzee Finehasi Majura Rubairo (73) akizungumzia maendeleo ya muziki huo na changamoto zake kwa sasa.Ikiwa ni historia ya uimbaji wa kutumia vyombo kwa kwaya za kanisa hilo hapa nchini Tanzania.

Sikiliza mahojiano na mtaalamu huyu katika kipindi cha LULU ZA INJILI leo jumamosi saa 12 jioni au saa 6 usiku kupitia 105.3 FM-Morning Star Radio ama kupitia Hope Channel International kwenye satelite

3 comments

nkanku said...

jamani tunaimiss morning star radio tunaomba mfanye utaratibu basi iwe inasikika kwa njia ya mtandao{internet} itakuwa ni furaha yetu pia kuisikiliza na kushiriki pamoja na watu wengine nyumbani, asanteni

Anonymous said...

mtangazaji naomba unitumie number ya simu ya huyu mzee plz. @yuster45@yahoo.com

ernest said...

jamani tuombeeni sisi watanzania tulioko india kimasomo

Mtazamo News . Powered by Blogger.