MTANGAZAJI

AMBASSADORS OF CHRIST NA DVD NAMBA TANO YA KISWAHILI

Baadhi ya picha za waimbaji wa Ambassadors of Christ wa Rwanda walipokuwa wakitengezeza video za DVD namba tano yenye nyimbo za kiswahili itakayopatikana katika tamasha litakalofanyika Desemba 4,2011 jijini Dar es salaam  katika ukumbi wa Dimond Jubillee

3 comments

Anonymous said...

A true blessing. Go go go go Ambas. of Christ. Mbarikiwe sana mlihubiri injili.

Kiwummulo said...

God jus Bles these guys, Amen!

nyamisi said...

be blecd jamani, i real admire u, dont ever give up on Jesus no matter what, but also dont take this chance for granted my dear. utukufu uwe ni kwa Mungu tu, msijisahau

Mtazamo News . Powered by Blogger.