MTANGAZAJI

RAIS KIKWETE APATA TUZO


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipewa tuzo na Waziri Mkuu wa Antigua and Barbuda Mh. Winston Baldwin Spencer  kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya afya, teknolojia na maendeleo kwenye hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na taasisi ya South-South katika hoteli ya Waldorf Astoria jijini New York,Marekani Jumatatu usiku.Picha zaidi tembelea blog ya mawasiliano ikulu

1 comment

Anonymous said...

Jamani nyimbo za DINI zimeenda wapi,nilikuwa naamka hata usiku wa manane nasikiliza,niko kazini nasikiliza,sasa hakuna tena imekuwaje ndugu?

Mimi ni Abraham Jesse Mshana,
Kurasini.

Mtazamo News . Powered by Blogger.