MTANGAZAJI

HIVI NDIVYO BASI LA HOOD LILIVYOUNGUAHivi ndivyo ilivyokuwa wakati Basi la Abiria la Hood lilivyoteketezwa na moto baada ya kugongana uso kwa uso na lori la mizigo lililokuwa limebeba mafuta ya kula tani 24 watu watano walifariki na kuwaacha wengine 41 wakiwa ni majeruhi,tukio hilo lilitokea jana julai 20,mwaka huu huko Morogoro

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.