AKINA BABA MPO HAPA???
Katika kile kinachoonyesha kuwa mabadiliko katika jamii hususani wapendanao hapa baba na mama wakiwa zimeanza kuleta mabadiliko katika jamii baba akiwa amembeba mtoto huku mama akiwa amebeba mzigo kichwani na chupa ya chai wakati wakiwa katika matembezi yao ya kawaida katika mtaa wa old Dar es Salaam mjini Morogoro.Picha toka jumamtanda
Post a Comment