MTANGAZAJI

UKOSEFU WA VITANDA VYA WAGONJWA MOIBaadhi ya wagonjwa waliolazwa katika mojawapo ya wodi pale MOI kama walivyoshuhudiwa na Mtangazaji asubuhi ya leo,huyu mgonjwa wa kwanza ametokea Bunda,Mara anasubiri kufanyiwa upasuaji kwa muda wa wiki mbili sasa

1 comment

Anonymous said...

DU BADO TANZANIA TUKO MBALI! PAMOJA NA MALIASILI TULIZONAZO BADO HATA VITANDA VYA WAGONJWA VINAKOSEKANA? NASHAURI WIZARA YA AFYA ILITATUE NDANI YA SIKU 2.

Mtazamo News . Powered by Blogger.