MTANGAZAJI

Habari via ITV -Watu watano wapigwa mapanga mpaka kufa- Jeshi la polisi ...

1 comment

Filipo Lubua said...

Hilo ndo jeshi la polisi ambalo halitaki kuwajibika yanapotokea matukio mabaya kama hayo. Kunapokuwepo kila dalili ya uvunjifu wa amani, habari za kiintelijensia hazina umuhimu wowote. Kama kweli hawa polisi wangeingilia kati kama walivyovamia maandamano kule Arusha, sidhani kama kungekuwa na mauaji yoyote

Mtazamo News . Powered by Blogger.