MTANGAZAJI

CD NA DVD ZA FILAMU NA NYIMBO BEI POA BONGOFilamu na nyimbo za wasanii mbalimbali wa Tanzania zikiuzwa pale Ubungo kwa bei ya shilingi 1000 hadi 2000 tu za kitanzania  kwa kila CD ama DVD moja

1 comment

Simon Kitururu said...

Hapo wasanii waliohusika sidhani wanaambulia senti! Ila ndio hivyo BONGO mchakachaka kwa kua labda wauza hizo kazi za watu wasingekuwa na pakula !:-(

Mtazamo News . Powered by Blogger.