MTANGAZAJI

MTANGAZAJI USO KWA USO NA MWATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA

Tafakuri kabla ya Kipindi

Mratibu wa Shirika la Kuwasaidia Waathirika Wa Dawa za Kulevya Bure Tanzania (CHANGAMOTO NA MATUMAINI) Biotto William akiwa na Khamis Sudi kijana mwathirika wa madawa ya kulevya walipokuwa kwa mahojiano na Mtangazaji katika kipindi cha Jamii Yetu

1 comment

Filipo Lubua said...

Ee bwana kaka, hii imetulia sana. Vipindi vyenu vinapotoka kuigusa jamii, inakuwa ndio injili hasa.

Endelea kutafuta zaidi, watu walioasiriwa na maisha kwa namna moja au nyingine. Hii inaleta mvuto.

Mtazamo News . Powered by Blogger.