MTANGAZAJI

KAMA ULISTAAJABU KIKOMBE CHA BABU WA LOLIONDO UTAKIONA KIKOMBE CHA DADA WA TABORA

Habari toka Tabora zineleza kuwa  inasemekana kuwa leo  ni siku ya Kumi kwa Dada kuanza kutoa huduma za Kikombe kama Babu, hebu angalia foleni inavyozidi kuongezeka huko Tabora kupata Kikombe.
Na:Frederick Katulanda

3 comments

Anonymous said...

Hivi huyu babu wa loliondo anaingiza pesa nyingi kwa hicho kikombe mpaka kifanye wengine na wao kujitia wanajua dawa hizo..!!??

Neema Urassa said...

Du.. makubwa...

popol said...

hi, nice achat de kamas par sms
bye

Mtazamo News . Powered by Blogger.