MTANGAZAJI

URBAN PULSE YAIVAMIA BBC

                               Frank na Diamond Nje ya Mjengo wa BBC

Diamond Akifafanua jambo Fulani aliloulizwa na Mtayarishaji Idd Safe wa BBC kuhusu Urban Tour
                         Urban Pulse Team  ndani ya mjengo wa BBC

Salam kaka ,
Utawala wa URBAN PULSE CREATIVE MEDIA Unapenda kuwashukuru wale wote ambao walijitolea kufika, kushiriki  na kutoa support ya namna moja au nyingine wakati wa URBAN TOUR ili kusaidia kuchangia fedha za kupambana na vita dhidi ya Malaria Tanzania. Tour hii ilifanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kuweza kupata publicity duniani kote na kuhamasisha watu mbalimbali ili kutambua umuhimu na namna ya kufanya ili kutokomeza ugonjwa huu kama ambapo kila mtu ataamua kuchukua majukumu na kufanya sehemu yake.

Itakuwa ni vigumu kutoa shukrani kwa kila mtu ila URBAN PULSE ingependa kutoa shukrani za dhati  kwanza kabisa kwa Mwenyezi MUNGU ambaye alisaidia kufanikisha tour hii, Ubalozi wa Tanzania hapa UK Pamoja na staff wake,ASET(ASHA BARAKA & BARAKA MSILWA) Bloggers Wote waliosadia kutangaza show yetu ukianzia na MICHUZI,JIACHIE,MISS JESTINA,DJ CHOKA,TZ UK, HAKI NGOWI,GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO,KULIKONI UGHAIBUNI,HUNGA,MASHUGULI,KANUMBA,VINCENT KIGOSI,JENGATZ,MASHUGHULI,TA READING,LADY JAYDEE,MJENGWA,MTAA KWA MTAA,BONGO WIKEND,NITONYE na wengine wote.

TV & RADIO STATION  zikiwepo BBC, BEN TV, BET,MTVBASE,AILTV, PRESENTERS: SPORAH, AYOUB MZEE, FRED MTOI, FRED MACHA, SAFINA,IDD SAFE, CHRIS GOLDFINGER NA JJ.MA DJZ; CHAMBI,ASH,ANDREW,10 TONNES,JCOM,MOJA PAMOJA NA CHRIS GOLD FINGER
Frank Eyembe

1 comment

Anonymous said...

Urban Pulse ni nini? Iko wapi?Kazi zake ni nini? Members ni kina nani?
Nadhani hayo ni maswali ya msingi kuyajibu, ili unapotupa habari zao tuelewe ni nini?
Muzie

Mtazamo News . Powered by Blogger.