URBAN PULSE YAIVAMIA BBC
Frank na Diamond Nje ya Mjengo wa BBC
Diamond Akifafanua jambo Fulani aliloulizwa na Mtayarishaji Idd Safe wa BBC kuhusu Urban Tour
Urban Pulse Team ndani ya mjengo wa BBC
Diamond Akifafanua jambo Fulani aliloulizwa na Mtayarishaji Idd Safe wa BBC kuhusu Urban Tour
Urban Pulse Team ndani ya mjengo wa BBC
Salam kaka ,
Utawala wa URBAN PULSE CREATIVE MEDIA Unapenda kuwashukuru wale wote ambao walijitolea kufika, kushiriki na kutoa support ya namna moja au nyingine wakati wa URBAN TOUR ili kusaidia kuchangia fedha za kupambana na vita dhidi ya Malaria Tanzania. Tour hii ilifanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kuweza kupata publicity duniani kote na kuhamasisha watu mbalimbali ili kutambua umuhimu na namna ya kufanya ili kutokomeza ugonjwa huu kama ambapo kila mtu ataamua kuchukua majukumu na kufanya sehemu yake.
Itakuwa ni vigumu kutoa shukrani kwa kila mtu ila URBAN PULSE ingependa kutoa shukrani za dhati kwanza kabisa kwa Mwenyezi MUNGU ambaye alisaidia kufanikisha tour hii, Ubalozi wa Tanzania hapa UK Pamoja na staff wake,ASET(ASHA BARAKA & BARAKA MSILWA) Bloggers Wote waliosadia kutangaza show yetu ukianzia na MICHUZI,JIACHIE,MISS JESTINA,DJ CHOKA,TZ UK, HAKI NGOWI,GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO,KULIKONI UGHAIBUNI,HUNGA,MASHUGULI,KANUMBA,VINCENT KIGOSI,JENGATZ,MASHUGHULI,TA READING,LADY JAYDEE,MJENGWA,MTAA KWA MTAA,BONGO WIKEND,NITONYE na wengine wote.
TV & RADIO STATION zikiwepo BBC, BEN TV, BET,MTVBASE,AILTV, PRESENTERS: SPORAH, AYOUB MZEE, FRED MTOI, FRED MACHA, SAFINA,IDD SAFE, CHRIS GOLDFINGER NA JJ.MA DJZ; CHAMBI,ASH,ANDREW,10 TONNES,JCOM,MOJA PAMOJA NA CHRIS GOLD FINGER
Frank Eyembe
Post a Comment