Mtangazaji ndani ya studio za kuandaa na kuhariri vipindi vya Hope Channel hapa Ongata Rongai,Nairobi Bango kutambulisha yalipo Makao Makao Makuu ya Kanisa la Waadventista Wasabato Kanda ya Afrika Mashariki na Kati hapa Kenya Wanyama hawa ni kivutio ndani ya eneo hili la ECD
Post a Comment