WASHA YA TEKNOHAMA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA-IFM YAFANA
Jana kulikuwa na washa iliyoandaliwa na Wizara ya Ardhi nchini Tanzania kuhusu changamoto za TEKNOHAMA katika wizara hiyo nyeti nchini Tanzania,washa hiyo iliyowakutanisha wadau mbalimbali iliandaliwa na kufanyika katika kituo cha utafiti wa TEKNOHAMA kilichopo katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha-IFM
Post a Comment