MTANGAZAJI

MKENYA ALIYETAKA KUMUUZA ALBINO TANZANIA JELA MIAKA 17

Mahakama ya hakimu mkazi ya mkoa wa Mwanza, chini ya hakimu Angelous Rumisha jana imemuhukumu kwenda jela miaka 9 ama kulipia faini ya sh. 80 milioni kwa kosa la kwanza la kusafirisha (binadamu) Robnson Mkwama miaka 20 na kutaka kumuuza milioni 400 na adhabu nyingine ni jela miaka 8 kwa kutaka kumuua na kuuza viungo vyake. mtuhumiwa aliyehukumiwa ni raia wa Kenya Nathan Mutei (28). faini hajalipa na kwa mujibu wa hukumu hiyo ahata akilipa faini kwa kosa la Kwanza atatumikia adhabu ya miaka nane kwa kosa la pili.

Frederick M. Katulanda

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.