MTANGAZAJI

MTANGAZAJI AKABIDHI ZAWADI YA CD KWA MSIKILIZAJI


Mmoja wa wasikilizaji wa Morning Star Radio 105.3 FM,Dada Rehema Omary akipokea zawadi ya CD ya  toleo jipya la albamu ya TM MUSIC toka kwa Mtangazaji,nyimbo zilizomo kwenye albamu hiyo zimembwa na waimbaji zaidi ya 100 wa nyimbo za injili nchini Tanzania

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.