MTANGAZAJI

MWANZA YAENDELEA KUPENDEZAAma kwa hakika jiji la Mwanza linapendeza kwa sasa, hivi karibuni lilitangazwa kuwa ni jiji safi nchini Tanzania hapa ni eneo mojawapo la jijini humo karibu na jengo la Schumann's Garage, picha hizi zimetumwa na mdau Nico Mujaya

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.