MTANGAZAJI

VILIO SAME

Wakazi wa Kijiji cha Goha wilaya ya Same , wakiwa na huzuni kubwa wakati wa kuaga miili ya ndugu zao waliofariki kwa kufukiwana kifusi cha mlima mkoani Kilimanjaro.

Watu 2O waliofariki dunia kwa kufunikwa na kifusi kilichoporomoka mlimani na kufukia nyumba zao usiku wa manane katika Kata ya Mamba Miamba, wilayani Same, Kilimajaro wamezikwa jana.

Kwa habari zaidi tembelea http://www.mwananchi.co.tz

1 comment

Yasinta Ngonyani said...

Pole wazazi wa Same na pia Tanzania nzima kwani ni msiba wa nchi nzima.

Mtazamo News . Powered by Blogger.