MTANGAZAJI

UNATAKA KAZI YA UPOLISI UMEIONA HII1 comment

Anonymous said...

Hii ni tabia mbaya sana ya watu kukataa kulipia tiketi wanazopewa na hawa watu. japo sijui kama nani ana makosa hapo ila watu wengi wamekuwa wakidharau kuwalipa hawa watu wa parking na matokeo yake ni kuwa kwa kila tiketi iliyokatwa kama haijalipiwa huyu mtoa tiketi anakatwa kwenye malipo yake! sasa hivyo vijilipo vyenyewe wanavyopewa ni vidogo yet vikakatwe jamani tuwe na hauruma na tusaidiane watanzania!

Mtazamo News . Powered by Blogger.