£OVELY GAMBLE ZE SAUNDI TLAKI
Salam kaka
Pole na pilika na hongera kwa kazi nzuri unaoifanya.
Kwa niaba ya timu nzima ya £ovely Gamble tunapenda kuwaletea habari njema kuwa soundtrack ya movie £ovely gamble starring Steve Kanumba iko tayari na inapatikana kwenye hii link chini.
Movie itakuwa tayari soon.
Post a Comment