MAHAFALI CHUO KIKUU CHA ARUSHA
Waziri mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akiteta jambo na Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Arusha Mchungaji Joshua Kajula wakati wa mahafali ya chuo hicho yaliyofanyika mwishoni wa wiki wilaya Arumeru kwa picha zaidi tembelea http://issamichuzi.blogspot.com/
Post a Comment