3 comments
- Yasinta Ngonyani said...
-
Inaonekana kama ni polis huyo mwenye kofia lakini nani anapiga nani haieleweki:
- November 30, 2009 at 4:23 AM
- Bennet said...
-
Wako bolywood wanatengeneza sinema, huyo mama kunji bai ndio kinara hapo kamkaba polisi njaa hahahah kama kweli enhe!!!!
- November 30, 2009 at 10:13 AM
- Mashughuli said...
-
Doooooooo! mtamgazaji hii kali sana yaani uko wanaume hawana ubavu tena huyo ni police that means amekwenda for trainning ya kijeshi lakini kawekwa kibindoni hana ujanja
- December 3, 2009 at 4:59 AM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment