EID NJEMA
Abdulwahab Swalehe akiwa ameongozana na familia yake mara baada ya swala ya Idd -El -Fitiry kwenye viwanja vya Hilux katika Manispaa ya Morogoro ambapo dunia kote waumini wa dini ya kiislam wamekuwa kishehekea sikukuu ya Idd -El- Fitiry.
Mwendesha pikipiki katika Manispaa ya Morogoro akiwa amewapakia abiria watatu wakati akitoka katika ibada ya swala ya Idd-El-Fitiry kwenye viwanja vya Hilux katika Manispaa ya Morogoro ambapo dunia kote waumini wa dini ya kiislam wamekuwa kishehekea sikukuu ya Idd -El- Fitiry. (Picha na Juma Mtanda)
Post a Comment