MTANGAZAJI

MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA JWTZ

Afisa Mteule Daraja la kwanza katika shule ya mafunzo na huduma Pangawe mkoani Morogoro John Banda akiwa na Koplo Adamu Adamu, wakipanda maua katika eneo la hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro wakati wa maadhimisho ya kuanzishwa kwa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) miaka 45 iliyopita (picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.