MTANGAZAJI

TAMBI ZA FUTARI

Mchuuzi wa tambi katika mtaa wa Boma Road, Kulwa Alli akipima tambi kwa ajili ya mteja wake bidhaa hii hutumika kwa ajili ya futari hasa katika kipindi hiki cha mwezi wa ramadhani bei yake ni shilingi 500 za kitanzania kwa robo kilo na na kilo moja ni sh 2000. (Picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.