MTANGAZAJI

MLEMAVU WA AKILI ANAPOTIWA PINGU


Hamisi Kalule, mkazi wa eneo la Forest katika Manispaa ya Morogoro (katikati) akiwa chini ya ulinzi wa askari kanzu akipelekwa katika kituo kikuu cha polisi mkoa huo muda mfupi mara baada ya kumkata akidaiwa kuwa ni mgonjwa wa akili na kutishia kupiga watu na silaha,je ni halali kwa watu walio na ulemavu wa akili kupelekwa kituo cha polisi?

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.