MTANGAZAJI

MTAJI WA MASKINI..........


Huwa najiuliza hivi hakuna njia yoyote ambayo watanzania tunaweza kuondokana na hali ngumu ya maisha kama hii je jukumu hili liko mikononi mwa wananchi wenyewe ama kwa viongozi wetu???????

1 comment

Jr said...

kaka mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe!!

Mtazamo News . Powered by Blogger.