MTANGAZAJI

MASHINDANO YA POOL MOROGORO

Mwandishi wa habari za michezo wa siku nyingi mkoani Morogoro Khalfan Diyu akicheza pool,mchezo huu umeonekana kupendwa na vijana wengi hapa nchini Tanzania,japo kuna mheshimiwa mmoja alidai hivi karibuni kuwa unawafanya vijana washindwe kufanya kazi

1 comment

Anonymous said...

Ndiyo Paparazzi nimekuona, lakini game inapanda au minjonjo?

Mtazamo News . Powered by Blogger.