USAFIRI WA PIKIPIKI NCHINI
Hivi ndivyo usafiri wa pikipiki unavyoendelea kushika kasi mjini Morogoro na sehemu mbalimbali nchini Tanzania japo usalama kwa watumiaji wa usafiri huu bado ni kitendawili maana ubebaji wa abiria bila kuzingatia idadi maarufu kwa jina la mishikaki unaendelea na hata kama kutatokea ajali hakuna kinga kwa abiria
Post a Comment