MTANGAZAJI

MISS TANZANIA EUROPE 2009 KUFANYIKA LONDON JUNI 27

Shindano la kumtafuta Miss Tanzania Europe 2009 litafanyika juni 27
SILVERSPOON NEWLIGHT COMPLEX HA9 OHB mkabala na uwanjwa wa WEMBLEY jijini London.


Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa shindano hili kuwakutanisha warembo wa kitanzania walioko barani ulaya na tangu kubadilishwa kwa jina lake ambapo tangu lilipoanzishwa limekuwa likiitwa MISS TANZANIA UK

Hii ni kwa mujibu wa Matron wa Miss Tanzania Europe 2009,Tina a.k.a Jestina ambaye alishawahi kushiriki Mashindano ya Miss Morogoro hapa Tanzania kabla hajaenda nchini Uingereza.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.