MTANGAZAJI

JESTINA GEORGE NDANI YA AIL TV


Jestina George

Mwanadada mtanzania ambaye ndio Matroni wa Miss Tanzania Europe 2009 Jestina George a.k.a Tina toka hapa Morogoro atakuwa akitangaza kipindi kipya kinachoitwa WOMAN TO WOMAN kitakachokuwa hewani hivi karibuni kupitia AIL TV iliyoko Uingereza.
Kipindi hiki kitakuwa kikizungumzia masuala ya wanawakike walioko jijini London na Uingereza kwa ujumla, na hasa wanawakike toka nchi za Afrika Mashariki walioko katika nchi za Ulaya.
Kwa maeleo zaidi unaweza kutembelea hapa www.ailtv.com

1 comment

Anonymous said...

Nice one Tina Keep it up

Mtazamo News . Powered by Blogger.