MTANGAZAJI

WAFUNGWA WA BONGO

Tangu nije hapa Morogoro mwaka 1995 nimekuwa nikishuhudia wafungwa wakiwa wanatembea kwa mguu kwenda kufanya kufanya kazi nje ya gereza katika maeneo mbalimbali ya Manispaa hasa kwenye shamba lao lililoko barabara ya boma kama unaelekea kwa ofisi za mkuu wa mkoa,swali ni kwamba usafiri waliopewa wenzao mfano wale wa Dar es salaam sehemu zingine hakuna? na Je usafiri huo ni kwenda mahakamani tu?? Huko ughaibuni wafungwa wanahudumiwa vipi??

1 comment

Mwema Jr said...

ndio maisha hayo mkuu...tutafika tu

Mtazamo News . Powered by Blogger.