MIHANGAIKO YA MAISHA MSAMVU MOROGORO
Hapa ni eneo la stendi kuu ya Mabasi Msamvu Morogoro ambapo kila mtu anahangaika na shughuli yake ya kupambana na maisha kuanzia wapiga debe,waendesha daladala,wakodisha baiskeli,wabeba abiria kwa pikipiki na wauza matunda ila pia hata wezi wapo kwa hiyo inapaswa uwe makini,Maana penye wengi pana mengi,hii ni picha ya jana asubuhi
Post a Comment