NYUMBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Nyumba alipozaliwa na kukulia Rais Jakaya Mrisho Kikwete(ya kwanza kushoto)
Hii ndiyo nyumba ambapo Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa na kukulia, katika nyumba hii iliyopo katika kijiji cha Msoga,Bagamoyo kilomita 10 toka Chalinze-Tanzania .
Mei 29,2008 mbio za Mwenge wa Uhuru zilizinduliwa na Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda mahali hapa na serikali ikajenga mnara wa kumbukumbu katika eneo hilo
Post a Comment