4 comments
-
-
Picha nzuri sana kweli JK mtu wa watu.
- May 24, 2009 at 6:30 PM
-
-
Yaani,Watanzania tulivyo na roho ngumu!Rais anasimama halafu raia wanakaa starehe tena bila wasiwasi,hii ni kukosa heshima kwa huyu tuliyempatia dhamana ya kutuongoza.
Hebu tujaribu kuwa na heshima kwa viongozi wetu. - May 27, 2009 at 3:45 AM
-
-
Kweli usilo lijua litakusumbua... waswahili bwana kila kitu lazima watoe kasoro. Kwani ukisifia kikaisha itakuwaje???? Tuache chuki jamaa.
- May 27, 2009 at 6:39 PM
-
-
kusimama kwenye ndege ni jambo la kawaida..pengine alipiga picha kwa dakika 2-3 kisha alikaa....
- May 29, 2009 at 10:03 AM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment