Nyati wa Mikumi ambao ni hazina kwa taifa letu katika suala zima la Utalii
NduguJoktan Eyembe,Mama Eyembe na kijana wao Andrew ambao walitembelea Mbuga ya Mikumi,Morogoro.Najiuliza kwa nini watanzania hatuzitembelei mbuga zetu ambazo Mungu ametubariki kuwa nazo hapa Tanzania tunawaachia watalii toka nje ya nchi?
Post a Comment