MTANGAZAJI

MOROGORO YAPENDEZA

Kituo kipya cha mafuta kilichopo barabara ya posta mkabala na bank ya CRDB tawi la Morogoro kituo hiki pia kina duka kubwa la kuuza bidhaa mbalimbali
Hapa ni maeneo ya barabara ya posta yalipo makao makuu ya shirika la bima la Taifa tawi la Morogoro jirani na ofisi za TTCL mkoani Morogoro.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.