MTANGAZAJI

KWELI MOROGORO INAPENDEZA???!!!!




Hapa Morogoro tunaona kwapendeza lakini soko kuu la Morogoro ambalo liko katikati ya manispaa lililojengwa na wakoloni miaka ya 1950 inakuwaje mpaka sasa linaonekana liko hivihivi ???? Ni suala la serikali ama ni wananchi wenyewe kuliboresha???

1 comment

Mzee wa Changamoto said...

Swali zuri Kaka. Nadhani kodi na makato ya kufanya biashara hapo vyakusanywa na kutumiwa hapohapo manispaani. Na kama vyaenda nje ni kwa asilimia ndogo saaana.
Nashangaa kuwa bado mentality ya kutegemea serikali kuu inaonekana kugubika vitendea kazi vyetu.
Kwani unadhani sisi ni maskini ama tunashindwa kuhimili, kutumia na kuthmanini rasilimali zilizopo miongoni mwetu?
Inasikitisha.
Asante kwa changamoto Kaka

Mtazamo News . Powered by Blogger.