MTANGAZAJI

MAMBO YA UNGO WA VING'AMUZI MOROGORO




Kutokana na soko huria nchini watanzania wengi wamekuwa na uwezo wa kununua ungo na ving'amuzi ili kuona vituo vya televisheni mbalimbali za nchini na nje ya nchi haijalishi una aina gani ya nyumba ni yako ama ya kupanga hapa ni mji kasoro bahari mitaa ya kikundi na misufini


1 comment

Anonymous said...

Safi sana naona moro kunaendelea. Thanks Maduhu

Mtazamo News . Powered by Blogger.