MTANGAZAJI

MANANASI CHALINZE,TANZANIA


Ama kweli bongo kuzuri haya ni mananasi pale Chalinze,haya si yale ambayo yamelazimishwa kuiva ni fresh toka shambani maana kwa wenzetu wanayalazimisha yakue na yaive kwa siku tatu,ila kinachonisikitisha ni kwamba bado watanzania tunaendelea kununua juisi zilizo tengenezwa nje ya nchi tena zinauzwa bei ghari wakati matunda kama haya yanaozea shambani na sokoni.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.