MTANGAZAJI

TUTAFIKA HAPA??????


Mojawapo ya mambo yanayoumiza vichwa vya waliooa na kuolewa ama wasio kuwa katika ndoa ni kudumu kwa muda mrefu katika mahusiano yao wanapoyaanzisha.Pichani ni moja ya wazee toka Upareni waliodumu kwenye ndoa yao kwa muda mrefu JE WEWE NA MIMI TUTAFIKIA KATIKA UMRI HUU TUKIWA KATIKA NDOA?

1 comment

Anonymous said...

Thatha tafadhali mtangathaji ututhaidie na jina la huyu havae ili na thithi tumuulize thiri
......United kingdom.......

Mtazamo News . Powered by Blogger.